Ufafanuzi wa shegele katika Kiswahili

shegele

nominoPlural shegele

  • 1

    vazi, agh. la watoto wadogo, linalotengenezwa kwa matambara ya nguo na shanga na kuvaliwa kiunoni ili kufunika sehemu ya mbele ya mwili.

Asili

Kar

Matamshi

shegele

/∫ɛgɛlɛ/