Ufafanuzi wa sheheneza katika Kiswahili

sheheneza, sheneza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    beba au kuwa na idadi kubwa ya vitu.

  • 2

    jaza mizigo k.v. katika jahazi au lori; pakia mizigo chomboni.

Asili

Kar

Matamshi

sheheneza

/∫ɛhɛnɛza/