Ufafanuzi wa shetani katika Kiswahili

shetani

nominoPlural mashetani

Kidini
 • 1

  Kidini
  malaika anayesadikiwa kuwa amelaaniwa kwa kukataa kufuata amri ya Mwenyezi Mungu.

  ibilisi, milihoi, pepo

 • 2

  Kidini
  mtu mwenye vitendo vibaya.

  habithi

Asili

Kar

Matamshi

shetani

/∫ɛtani/