Ufafanuzi wa shilanga katika Kiswahili

shilanga

nominoPlural shilanga

  • 1

  • 2

    jembe la mpini mrefu la kulimia.

  • 3

    jembe la wima.

Matamshi

shilanga

/∫ilanga/