Ufafanuzi wa shindilia katika Kiswahili

shindilia

kitenzi sielekezi~ana, ~ka, ~wa

  • 1

    tia kitu kisicho cha majimaji kwenye chombo fulani k.v. gunia au debe na kukijaza kupita kiasi kwa kugandamiza.

    komea, omeka

Matamshi

shindilia

/∫indilija/