Ufafanuzi wa shinikiza katika Kiswahili

shinikiza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    lazimisha jambo kwa kulikazania.

  • 2

    shikilia jambo kwa dhati.

    komelea

Matamshi

shinikiza

/∫inikiza/