Ufafanuzi wa shonga katika Kiswahili

shonga

nominoPlural shonga

  • 1

    apizo atoalo mtu kumwombea mwingine ili afikwe na jambo ovu, hasara, n.k..

    laana, chira, apizo

  • 2

    ‘Huyu ana shonga’
    wehu

Matamshi

shonga

/∫ɔnga/