Ufafanuzi msingi wa shore katika Kiswahili

: shore1shore2

shore1

nominoPlural shore

  • 1

    ndege mdogo mwenye rangi ya kijivu, kichwa chenye kishungi, anayekaa karibu na watu na ambaye hupenda sana kula matunda k.v. mapapai, mapera au pilipili.

    shorewanda, jurawa

Ufafanuzi msingi wa shore katika Kiswahili

: shore1shore2

shore2

nominoPlural shore

  • 1

    kishungi cha nywele kinachoachwa au kufungwa karibu na paji la uso.

    chokiro, junju

Matamshi

shore

/∫ɔrɛ/