Ufafanuzi wa shtusha katika Kiswahili

shtusha

kitenzi elekezi

  • 1

    tia hofu kwa ghafla kwa kusema au kufanya jambo.

    gutusha

Matamshi

shtusha

/∫tu∫a/