Ufafanuzi wa shua katika Kiswahili

shua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    vuta au teremsha chombo cha baharini k.v. jahazi, mashua, ngalawa, kutoka ufuoni au nchi kavu na kukitia majini.

    pwezua

Matamshi

shua

/∫uwa/