Ufafanuzi wa shughulikia katika Kiswahili

shughulikia

kitenzi elekezi~ana, ~sha, ~wa

  • 1

    fanya harakati za kutekeleza jambo fulani.

  • 2

    angazia, gusia, patiliza

Asili

Kar

Matamshi

shughulikia

/∫uɚulikija/