Ufafanuzi wa shuhudia katika Kiswahili

shuhudia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    ona tukio fulani wewe mwenyewe; kuwa shahidi.

Asili

Kar

Matamshi

shuhudia

/∫uhudija/