Ufafanuzi wa shukurani katika Kiswahili

shukurani, shukrani

nominoPlural shukurani

  • 1

    neno au ishara inayoonyesha kuridhika na wema aliotendewa mtu.

    asante, kongole

Asili

Kar

Matamshi

shukurani

/∫ukurani/