Ufafanuzi wa shukuru katika Kiswahili

shukuru

kitenzi elekezi

  • 1

    sema maneno au onyesha ishara ya kuridhika na jambo la wema ulilofanyiwa; toa shukrani.

Asili

Kar

Matamshi

shukuru

/∫ukuru/