Ufafanuzi wa shupaa katika Kiswahili

shupaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa gumu; kuwa kavu sana.

  • 2

    kuwa -kaidi.

Matamshi

shupaa

/∫upa:/