Ufafanuzi wa si katika Kiswahili

si

kitenzi sielekezi

  • 1

    kanusha au onyesha tofauti iliyopo baina ya jambo, mtu au kitu.

  • 2

    kinyume cha ni.

    ‘Hili si shati langu’
    ‘Tatu na mbili si sita, ni tano’

Matamshi

si

/si/