Ufafanuzi wa sikini katika Kiswahili

sikini

nominoPlural sikini

  • 1

    mtindo wa kukata nywele unaoacha nywele nyingi katikati.

Matamshi

sikini

/sikini/