Ufafanuzi wa sikitiko katika Kiswahili

sikitiko

nominoPlural masikitiko

  • 1

    hali ya kuingiwa na huzuni kutokana na tukio baya.

    majonzi, simanzi, sijiko, jitimai, nadama, majuto, huzuni, chonda, buka, ghamu

Matamshi

sikitiko

/sikitikɔ/