Ufafanuzi wa silinda katika Kiswahili

silinda

nominoPlural silinda

  • 1

    kitu maalumu cha mviringo k.v. bomba chenye uwazi ndani kilichozibwa upande mmoja na hutiliwa vitu k.v. gesi au hewa.

  • 2

    mcheduara

Asili

Kng

Matamshi

silinda

/silinda/