Ufafanuzi wa simile! katika Kiswahili

simile!

kiingizi

  • 1

    tamko linalotumiwa na mtu ili kutaka nafasi apite; tamko la kutahadharisha.

    habedari!, hela!, hebu!, heria!

Asili

Kar

Matamshi

simile!

/similɛ/