Ufafanuzi wa singe katika Kiswahili

singe

nominoPlural singe

  • 1

    kisu kinachochomekwa kwenye mtutu wa bunduki ambacho hutumika kuchomea adui.

Asili

Kar

Matamshi

singe

/singɛ/