Ufafanuzi wa sini katika Kiswahili

sini

nomino

  • 1

    udongo maalumu unaotumiwa kutengenezea vyombo k.v. sahani, vikombe au mabakuli.

    ‘Kikombe cha sini’

Asili

Kar

Matamshi

sini

/sini/