Ufafanuzi wa sinia katika Kiswahili

sinia

nominoPlural masinia

  • 1

    sahani kubwa ya mviringo inayofanana na chano ambayo hutengenezwa kwa madini ya bati au shaba.

Asili

Kar

Matamshi

sinia

/sinija/