Ufafanuzi wa sio katika Kiswahili

sio

nominoPlural sio

  • 1

    unga wa vigae vya vyungu, mitungi, n.k. vilivyovunjika ambao huchanganywa na udongo mwingine ili kufinyangia tena.

Matamshi

sio

/sijɔ/