Ufafanuzi wa sirima katika Kiswahili

sirima

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kata tamaa ya kusubiri baada ya kungoja kwa muda mrefu bila ya mafanikio.

Asili

Kar

Matamshi

sirima

/sirima/