Ufafanuzi wa soga katika Kiswahili

soga

nominoPlural soga

  • 1

    mazungumzo ya kupitisha wakati.

    porojo, gumzo

Asili

Kar

Matamshi

soga

/sɔga/