Ufafanuzi wa sogi katika Kiswahili

sogi

nomino

  • 1

    mifuko miwili anayobebeshwa punda, mmoja kila upande, ambayo hutumiwa kubebea mizigo.

Matamshi

sogi

/sɔgi/