Ufafanuzi wa sombombi katika Kiswahili

sombombi

nomino

  • 1

    mtu msumbufu; mtu mwenye fujo.

Matamshi

sombombi

/sɔmbɔmbi/