Ufafanuzi msingi wa songonyoa katika Kiswahili

: songonyoa1songonyoa2

songonyoa1

kitenzi elekezi

  • 1

    sokota kitu kwa muda mrefu mpaka kikatike.

Matamshi

songonyoa

/sɔngɔɲɔwa/

Ufafanuzi msingi wa songonyoa katika Kiswahili

: songonyoa1songonyoa2

songonyoa2

kitenzi elekezi

kitenzi elekezi

Matamshi

songonyoa

/sɔngɔɲɔwa/