Ufafanuzi wa songoro katika Kiswahili

songoro

nominoPlural songoro

  • 1

    samaki mkubwa na mrefu wa jamii ya mzia na jodari mwenye rangi ya kijivu mgongoni na vipezi vifupi sana visivyoshikamana.

Matamshi

songoro

/sɔngɔrɔ/