Ufafanuzi wa sononesha katika Kiswahili

sononesha

kitenzi elekezi

  • 1

    tia mtu uchungu moyoni.

Matamshi

sononesha

/sɔnɔnɛ∫a/