Ufafanuzi wa soroveya katika Kiswahili

soroveya

nominoPlural masoroveya

  • 1

    mtaalamu wa kupima ardhi k.v. barabara au viwanja.

Matamshi

soroveya

/sɔrɔvɛja/