Ufafanuzi wa staajabia katika Kiswahili

staajabia

kitenzi elekezi

  • 1

    patwa na butwaa na mshangao juu ya kitu au jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

staajabia

/sta:Ę„abija/