Ufafanuzi msingi wa stahili katika Kiswahili

: stahili1stahili2

stahili1

kitenzi elekezi~ia, ~isha, ~iwa

 • 1

  kuwa katika hali inayoruhusu kufanya au kupata jambo au kitu fulani.

  ‘Hastahili kusafiri kwa sababu yeye ni mgonjwa’

Asili

Kar

Matamshi

stahili

/stahili/

Ufafanuzi msingi wa stahili katika Kiswahili

: stahili1stahili2

stahili2

nominoPlural stahili

 • 1

  hali inayomruhusu mtu kufikwa na jambo fulani.

  ‘Ni stahili yako kupigwa kwa sababu wewe ndiwe uliyeanza uchokozi’
  fani

Asili

Kar

Matamshi

stahili

/stahili/