Ufafanuzi wa stajiri katika Kiswahili

stajiri

kitenzi elekezi

  • 1

    omba msaada; taka kusaidiwa.

Asili

Kar

Matamshi

stajiri

/staŹ„iri/