Ufafanuzi wa subiri katika Kiswahili

subiri

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  kaa kwa muda kwa madhumuni ya kupata kitu au kungoja mtu.

  ‘Nisubiri, nitakuja sasa hivi’
  ngoja, ngojea

 • 2

  kuwa na uvumilivu; kuwa na subira.

  stahimili, vumilia

Matamshi

subiri

/subiri/