Ufafanuzi wa sudi katika Kiswahili

sudi

nominoPlural sudi

  • 1

    bahati njema.

    ‘Huyu ana sudi sana’
    bahati, fali

Asili

Kar

Matamshi

sudi

/sudi/