Ufafanuzi wa sufufu katika Kiswahili

sufufu

kielezi

  • 1

    -ingi kupita kiasi.

    ‘Ana pesa sufufu’

Matamshi

sufufu

/sufufu/