Ufafanuzi wa sukutua katika Kiswahili

sukutua

kitenzi elekezi

  • 1

    safisha kinywa kwa kuchezeshachezesha maji kinywani na kuyatema.

Matamshi

sukutua

/sukutuwa/