Ufafanuzi msingi wa suluhu katika Kiswahili

: suluhu1suluhu2

suluhu1

nominoPlural suluhu

  • 1

    mapatano au masikilizano yanayowafanya watu waliokuwa wamegombana wawe na uhusiano mzuri tena.

    upatanisho

Asili

Kar

Matamshi

suluhu

/suluhu/

Ufafanuzi msingi wa suluhu katika Kiswahili

: suluhu1suluhu2

suluhu2

kielezi

  • 1

    bila ya kuzidiana, agh. katika mashindano ya mchezo.

    sawasawa, sare

Asili

Kar

Matamshi

suluhu

/suluhu/