Ufafanuzi wa sumaku katika Kiswahili

sumaku, smaku

nomino

  • 1

    nguvu inayoweza kuvuta vyuma au vitu vyenye asili ya chuma.

  • 2

    chuma chenye nguvu hii.

Asili

Kar

Matamshi

sumaku

/sumaku/