Ufafanuzi wa supu katika Kiswahili

supu

nominoPlural supu

  • 1

    majimaji mepesi yenye ladha inayotokana na kuchemsha mboga, nyama au mifupa ya mnyama.

Asili

Kng

Matamshi

supu

/supu/