Ufafanuzi wa surua katika Kiswahili

surua

nominoPlural surua

  • 1

    ugonjwa wa kuambukiza, agh. unaowapata watoto, hufanya ngozi kuwa na vipele na unaoanza kwa kushikwa na homa kali na kukohoa.

    ukambi, firangi, ukamba

Asili

Kaj

Matamshi

surua

/suruwa/