Ufafanuzi wa suti katika Kiswahili

suti

nominoPlural suti

  • 1

    suruali au sketi pamoja na koti lake vilivyoshonwa kutokana na kitambaa cha aina na rangi moja.

Asili

Kng

Matamshi

suti

/suti/