Ufafanuzi msingi wa swala katika Kiswahili

: swala1swala2

swala1 , swara

nominoPlural swala

  • 1

    mnyama jamii ya kulungu na tohe anayefanana na mbuzi mkubwa.

    ‘Wako swala aina nyingi kama vile swala granti, swalapala, swala tomi na swala twiga’

Matamshi

swala

/swala/

Ufafanuzi msingi wa swala katika Kiswahili

: swala1swala2

swala2

nominoPlural swala

Matamshi

swala

/swala/