Ufafanuzi msingi wa taa katika Kiswahili

: taa1taa2taa3

taa1

nominoPlural taa

 • 1

  chombo kinachowashwa na kutoa mwangaza ili kumulikia au kuangaza.

  ‘Taa ya kandili’
  ‘Taa ya karabai’
  ‘Taa ya kibatari au koroboi’
  siraji

Asili

Kar

Matamshi

taa

/ta:/

Ufafanuzi msingi wa taa katika Kiswahili

: taa1taa2taa3

taa2

nominoPlural taa

 • 1

  samaki mkubwa mwenye umbo bapa na mkia mrefu.

  ‘Taa uzio’
  ‘Taa ungo’

Matamshi

taa

/ta:/

Ufafanuzi msingi wa taa katika Kiswahili

: taa1taa2taa3

taa3

nominoPlural taa

Matamshi

taa

/ta:/