Ufafanuzi wa taarabu katika Kiswahili

taarabu, tarabu

nominoPlural taarabu

  • 1

    muziki wa mahadhi yenye asili ya mwambao wa Afrika Mashariki unaotumia ala za mchanganyiko wa Kiarabu, Kihindi na Kizungu.

Asili

Kar

Matamshi

taarabu

/ta:rabu/