Ufafanuzi wa tafadhalisha katika Kiswahili

tafadhalisha

kitenzi elekezi

  • 1

    sihi mtu afanye jambo.

Asili

Kar

Matamshi

tafadhalisha

/tafaðali∫a/