Ufafanuzi wa tafakari katika Kiswahili

tafakari

kitenzi elekezi

  • 1

    fikiri jambo kwa makini.

    waza, zingatia, taamali, dhukuru, fikiri

Asili

Kar

Matamshi

tafakari

/tafakari/