Ufafanuzi wa taharizi katika Kiswahili

taharizi

nominoPlural taharizi

  • 1

    mapande ya pembeni katika kanzu ambayo huungwa na badani.

Asili

Kar

Matamshi

taharizi

/taharizi/